KUNDI LA UTANDAWAZI MABINGWA BALIMI NGOMA MKOA WA MWANZA
Wasanii wa Kundi la Utandawazi
wakishangilia mara baada ya kutangazwa mabigwa wa mashindano ya
ngoma za asili mkoa wa Mwanza mashindano hayo yamedhaminiwa na Kampuni ya bia
Tanzania-TBL kupitia Bia yake ya Balimi Extra Lager
Mgeni rasmi katika mashindano ya
Ngoma za asili mkoa wa mwanza, chini ya Udhamini wa Balimi Extra Lager Afisa
utamaduni Nyamagana Bi Haika lauwo akimkabidhi fedha tathilimu
shilingi laki 6 kiongozi wa kundi la Utandandawazi baada ya kuibuka washindi wa
mashindano hayo (kushoto) Andre Mbwambo Meneja Masoko TBL kanda ya ziwa (
Kulia ) Erick Mwayela Meneja Matukio( TBL) kanda ya ziwa
Kundi la Utandawazi likiwa katika
jukwaa kuu mara baada ya kutangazwa mabingwa wa mashindano ya ngoma za asili
mkoa wa Mwanza mashindano hayo yamedhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania-TBL
kupitia Bia yake ya Balimi Extra Lager
Post a Comment