ad

ad

KAMPUNI YA GAPCO TANZANIA LTD YATINGA MWANZA KWA AJILI YA PROMOSHENI YAKE

Wasanii wa kundi la   JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Relstar Oil Maeneo ya Buzuruga Mkoa wa mwanza Picha na Mpiga picha Wetu
Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco  T , LTD
Omar Salimu kushoto akimkabizi Baraka Sekanwa zawadi pamoja na Oil aliyonunua wakati wa Promosheni ya Gapco Relsta maeneo ya Buzuruga Mkoa wa Mwanza Picha na Mpiga picha wetu
Msanii wa  JCB Dominion
Halima Masoud
akimpagawisha moja ya mashabiki waliojitokeza wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la Stend kuu ya mabasi ya mikoani Mkoa wa Mwanza picha na BLOG YA SUPER D
Msanii wa  JCB Dominion
Jafari Halawi
 
akitoa burudani wakati wa promosheni ya Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco TANZANIA  Stendi kuu ya Mabasi ya Mikoani Mkoa wa Mwanza Picha na Mpigapicha Wetu

No comments