EXTRA BONGO WAANZA MAKAMUZI NDANI YA UKUMBI WA VILLA PARK JIJINI MWANZA
Wacheza shoo wa Bandi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa shoo yao katika Ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza wakati wa Ziara ya Kanda ya Ziwa
Muimbaji wa Bendi ya Extra Bongo,Redo Muzo akiimba sambamba na
Mkurugenzi wake , Ally Chocky katika ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza
Wakicheza
Wakicheza
Wakicheza
Wakicheza
Mpiga Bass,Hoseah Mgoachi akilichakaza gitaa lake
Mpiga Tumba,Ngosha akiwajibika
Mpiga Drum,Katanyama akiwajibika
Mpiga Rhrythim,Mfaume akiwajibika sambamba na mpiga Solo wa Kamanyora Bandi
Post a Comment