AJALI MBAYA YA LORI LA MAFUTA MLIMA SEKENKE WANANCHI WAGOMBEA MAFUTA YA DIESEL
Askari wa Jeshi la Polisi akijaribu kuwazuia wananchi bila mafanikio wakichota mafuta ya Diesel mara baada ya Lori lenye namba za usajili KAA8626 lililokuwa limebeba mafuta hayo kupinduka katika Mlima Sekenke bila kujali usalama wao.
Wananchi wakigombea Mafuta hayo bila kujali usalama wao
Wananchi wakigombea
Wakina mama na wasichana wakisombelea kama maji bila kujali usalama wao
Wakichota mafuta hayo yliyokuwa yakitiririka
Askari wakiwa wamejikalia pembeni
Hii kali watanzania wataelimika lini?
Afande akijaribu kuwazuia watu
Post a Comment