Ni mida ya saa tano nikipanda pipa kuelekea Rocky City wadau Hali ya hewa ndio kama hivi huku juu Baada ya kuwasili jijini Mwanza nakutana na mjasiliamali wa miwa akielekea mjini kuuza miwa
Post a Comment