VICTORIA PRINCESS MABINGWA SAFARI NYAMA CHOMA JIJINI MWANZA
Mpishi Mkuu wa Victora Princes, Joseph Swai akishangilia na kitita cha shilingi milioni moja mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Amina Masenza (kushoto kwake) ikiwa ni Mabingwa wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma 2013 Mkoa wa Mwanza yaliyofanyika katika viwanja vya furahisha mwishoni mwa wiki.Kulia ni Meneja mauzo na usambazaji wa kanda ya ziwa , Malaki Sitaki na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Mpiga Bess wa Bendi ya Africana akionyesha manjonjo yake wakati wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika katika Viwanja vya Furahisha mwishoni mwa wiki.
Mpishi Mkuu wa Bar ya Victoria Princes, Joseph Swai akishangilia mara baada ya kutangazwa mshindi wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma Mkoa wa Mwanza yaliyofanyika katika viwanja vya furahisha mwishoni mwa wiki.
Mpiga Bess wa Bendi ya Africana akionyesha manjonjo yake wakati wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika katika Viwanja vya Furahisha mwishoni mwa wiki.
Mchina ambaye hakutambulika jina lake akicheza wakati Bendi ya Africana inatumbuiza wakati wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika katika Viwanja vya Furahisha mwishoni mwa wiki.
Majaji wakikagua soezi la uchomaji nyama
Wanahabari wa Jijini Mwanza wakipata Nyama choma wakati wa fainali hizo
Post a Comment