TITINIC MABINGWA SAFARI NYAMA CHOMA DAR
Mchuma Nyama Mkuu wa Bar ya Titinic ya Vingunguti akifurahia ushindi akiwa na kitita cha shilingi milioni moja na cheti mara baada ya kutangazwa mshindi wakati wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika Leaders jijini Dar es Salaam
Wadau wakipata Nyama Choma
Mashabiki wa Bar ya Titinic wakishangilia mara baada ya kutangazwa washindi
m
Post a Comment