AMERICAN GARDEN WAZINDUA MUONEKANO MPYA WA BIDHAA ZAO
Balozi wa
Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) akizindua rasmi muonekano mpya wa Bidhaa
za American Garden wakati wa hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini
Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Kingsway International Limited, Murtaza
Faizal
Balozi wa
Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) na
Mwenyekiti wa Kingsway International Limited, Murtaza Faizal wakipiga
makofi mara baada ya uzinduzi rasmi wa
muonekano mpya wa Bidhaa za American Grden wakati wa hafla iliyofanyika katika
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Balozi wa
Marekani, Alfonso Lenhardt akizungumza na wageni waalikwawakati wa hafla ya
muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden
iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa wakati
wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bidhaa
za American Garden iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Kingsway International Limited, Murtaza Faizal
Wasanii wa
Integreted Comunication Limited wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden
iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti
wa Kingsway International Limited, Murtaza Faizal.
Balozi wa
Marekani, Alfonso Lenhardt akizungumza na waandishi wa habarimara baada ya
uzinduzi wa muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini
Dar es Salaam.
Post a Comment