TRA YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA MASHINE ZA KODI (EFDs) KWA WAFANYABIASHARA WASIOSAJILIWA NA VAT MKOA WA ILALA
| Ofisa wa Elimu na Huduma kwa Mlipa Kodi wa Mkoa wa Kodi wa Wilaya ya Ilala, George Haule, akitoa mada kwa wafanyabiashara wakati wa semina hiyo |
| Baadhi ya Wafanyabiashara hao wakimsikiliza kwa makini mwezeshaji wa semina semina hiyo Bw.George Haule. |
| Wafanyabiashara hao wakimsikiliza kwa makini mwezeshaji wa semina semina hiyo Bw.Hamisi Lupenja. |
Post a Comment