RAIS KIWEKTE AKUTANA NA WANACHAMA WA SIMIYU COMMUNITY BANK LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu
(Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank)
uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam kumwelezea mipango ya kufungua benki hiyo itayoshirikisha jamii katika mkoa huo
mpya na ya jirani katika azma ya kumkomboa mjasiriamali na mkulima mdogo.

Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu
(Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
Post a Comment