MTIBWA YAIGALAGAZA SIMBA 1-0
Wachezaji wa timu ya Mtibwa wakishangilia goli la
kwanza na ushindi dhidi ya Simba wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom
iliyochezwa Uwanja wa Taaifa Dar es Salaam
Wachezaji
wa timu ya Mtibwa wakirejea Uwanjani mara baada ya kushangilia bao la kwanzaa
na la Ushindi dhidi ya Mtibwa ya Morogoro wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya
Vodacom uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Mshambuliaji
wa timu ya Mtibwa,Issa Rashid akijaribu
kuwatoka mabeki wa timu ya Simba wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom
uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Umati wa mashabiki wa timu ya Simba wakishuhudia mechi
Kikosi cha timu ya Simba
Kikosi cha timu ya Mtibwa
Post a Comment