LAKELAND AFRICA WADHAMINI UTALII WA NDANI , MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Washiriki wa Miss Utalii
tanzania wakiwa katika moja ya Makaburi ya zamani Kaole Bagamoyo.
|
Mshiriki wa Miss Utalii
Tanzania Pamoja na washiriki wengine wakikata utepe kwa ajili ya uzinduzi wa
safari ya Kitalii Bagamoyo.
Washiriki wa Miss Utalii
Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Fukwe za Bahari Bagamoyo.
Washiriki wa Miss utalii Tanzania wakiwa katika jengo la Ngome kongwe
Bagamoyo
Post a Comment