KIKOSI CHA JESHI WANAMAJI TANZANIA WATEMBELEA MELI YA KIRUSI YA KUPAMBANA NA MAHARAMIA
Meja wa jeshi la wanamaji la Urusi
aliyejitambulisha kwa jina la But, akimsikiliza mmoja wa askari
wa jeshi la wanamaji Tanzania wakati alipokuwa
akimuliza swali kuhusiana na matumizi ya bunduki ya kisasa
wanayotumia katika kufanya ulinzi wa kupambana na uharamia katika bahari ya
hindi wakati walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye
jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji
wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana
februari 20 2013.
Afisa Mwandamizi wa jeshi la
wanamaji kutoka Urusi Admiral Vdovenko akiwaonyesha wanajeshi wa
jeshi la maji la Tanzania moja ya bunduki ya kisasa wanayotumia katika kupambana
na uharamia unaofanywa na magaidi katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi wa
tanzania walipotembela katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina
la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji
wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana
februari20 2013.
Wanajeshi wa jeshi la wanamaji la
Tanzania wakijaribu bunduki huku Luteni wa jeshi la
Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff akiwapa maelezo
juu ya siraha hizo ambazo zinatumika katika kupambana na uharamia baharini
wakati walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina
la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji
wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana
februari 20 2013.
Wanajeshi wa jeshi la wanamaji
kutoka Urusi wakinyanyua moja ya bunduki wakati walipokuwa wakitoa elimu kwa
wanajeshi la wanamaji la Tanzania wakati walipotembela katika meli ya kivita
aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga
katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya
kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili
Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20
2013.
Luteni Kanali wa jeshi la Wanamaji
kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff (kushoto)akiwaelezea
wanajeshi wa Jeshi la Wanamaji wa Tanzania jinsi moja ya
vifaa vya kivita wanavyotumia katika ulinzi wa kupambana na waharamia
wakati wanapofanya doria baharini. wakati walipotembelea katika Meli ya kivita
aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga
katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya
kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili
Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20
2013.
Luteni wa jeshi la
Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff (watatu kutoka
kulia)akiwaelezea wanajeshi wa Jeshi la Wanamaji nchini jinsi
nchini yao inavyofanya ulinzi wa kupambana na waharamia kwa kutumia helikopta
wakati walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina
la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa
lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa
Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana
februari 20 2013.
Mkuu
wa msafara wa meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, Admiral Eremin (katikati) akitoa elimu kwa
wanajeshi wa jeshi la Wanamaji la Tanzania juu ya kupambana na maharamia katika
bahari ya hindi , wakati wanajeshi hao walipotembelea katika meli
ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia
nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara
ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili
Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.kulia ni Afisa Mwandamizi
wa jeshi la wanamaji kautoka Urusi Admiral Vdovenko na kushoto ni Luteni
wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff.Picha
zote na Mroki
Post a Comment