EXTRA BONGO NDANI YA GARDEN BREEZE MAGOMENI SUNDAY BONANZA LEO.
Na Mwandishi
Wetu.
BENDI ya Muziki wa
Dansi Leo iko Magomeni Garden Breeze katika kukupa Burudani wewe mkazi wa jiji
la Dar es Salaam na hata wewe uliye jijini kwa matembezi ama kazi za mda
mfupi.
Wakizungumza
Kiongozi wa wacheza shoo, Super Nyamwela amesema usikose siku ya leo kwani safu
ya Wanenguaji wamejipanga kukuonyesha kitu ambacho hujawahi kukiona wewe mpenzi
na shabiki wa Bendi ya Extra Bongo, hivyo hakikisha hukosi kushuhudia shoo ya
leo.
Post a Comment