EXTRA BONGO WAENDELEZA MAKAMUZI SUNDAY BONANZA MAGOMENI GARDEN BREEZE
Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa
onyesho la Bonanza la kila jmapili katika Viwanja vya Magomeni Garden jijini
Dar es Saalaam mwishoni mwa wiki.
Muimbaji wa Bendi ya Extra Bongo, Amina Mnoga(katikati)
akiimba sambamba na wacheza shoo wakati wa onyesho la Bonanza la kila jmapili
katika Viwanja vya Magomeni Garden jijini Dar es Saalaam mwishoni mwa wiki.
Muimbaji wa Bendi ya Extra Bongo, Banza Stone akiimba
sambamba na mashabiki wakati wa onyesho la Bonanza la kila jmapili katika
Viwanja vya Magomeni Garden jijini Dar es Saalaam mwishoni mwa wiki.
Mcheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Janneth Tingisha akicheza
wakati wa onyesho la Bonanza la kila jmapili katika Viwanja vya Magomeni Garden
jijini Dar es Saalaam mwishoni mwa wiki.
Wacheza shoo wakicheza
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo,Ally chocky akiimba
sambamba na mashabiki wakati wa onyesho la Bonanza la kila jmapili katika
Viwanja vya Magomeni Garden jijini Dar es Saalaam mwishoni mwa wiki.
Wacheza shoo
Post a Comment