TBL NA WANAHABARI WAATEMBELEA WAJASILIAMALI WALIOWEZESHWA NA PROGRAM YA SAFARI LAGER MWAKA JANA.
Mjasiliamali
wa kilimo cha mbogamboga aliyewezeshwa na program ya Safari Lager mwaka jana,
Innocent Mbelwa akiwaonyesha
wanahabari moja ya mazao yake anayotarajia kuvuna kwa awamu ya tatu
alipotembelewa na walipomtembelea shambani kwake Kigamboni jijini Dar es Salaaam mwishoni mwa wiki.
Mjasiliamali,Innocent Mbelwa akiweka sawa mipira ya kumwagilia shamba lake la Matikiti Maji.
Mjasiliamali wa kilimo cha Mbogamboga aliyewezeshwa na
program ya Safari Lager Wezeshwa mwaka jana, Innocent Mbelwa(kulia) akipalilia
shamba la Matikiti Maji kwa kushilikana na wafanyakazi wake alipotembelewa na
waandishi wa habari Kigamboni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanahabari wakizungumza na mjasiliamali
walipomtembelea shambani kwake Kigamboni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.
Mjasiliamali wa Keki aliyewezeshwa mwaka jana, Elizabeth
Chami akiandaa Keki kwa kutumia kifaa ambacho aliwezeshwa na Program ya Safari
Lager alipotembelewa na waandishi wa habari ofisini kwake Tabata jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Mjasiliamali
wa Keki aliyewezeshwa na program ya Safari Lager mwaka jana, Elizabeth Chami
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) walipomtembelea kuona kazi
anazozifanyana ofisini kwake Tabata jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Eliza akifanya maandalizi ya keki
Mjasiliamali
wa kutengeneza Shampuu aliyewezeshwa mwaka jana program ya Safari Lager, Valerian
Luzangi akipanga bidhaa zake tayari kwenda kuuza alipotembelewa na waandishi wa habari ofisini
kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.
Mjasiliamali wa kutengeneza Shampuu aliyewezeshwa na program
ya Safari Lager mwaka jana, Valerian Luzangi akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani) walipomtembelea kuona kazi anazozifanyana ofisini kwake
Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki.
Post a Comment