RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Joseph Kabila wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kufanya naye mazungumzo Ikulu
jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam



Post a Comment