RAIS JOSEPH KABILA WA DRC ATUA DAR LEO KWA ZIARA YA SIKU MOJA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo
Ndege iliyomchukua Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo (DRC) ikiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam mchana wa leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha maafisa mbalimbali Rais Joseph
Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alipowasili uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Joseph Kabila wa Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakmiangalia ngoma za utamaduni alipowasili
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijijni Dar es salaam mchana wa
leo





Post a Comment