RAIS KIKWETE AMPA POLE KATIBU WA KUFTI WA ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhili
Soraga ambaye amelazwa katika chumba cha dharura katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kufuatia majeraha ya usoni na kifuani yaliyotokana na kurushiwa
Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi katika Kiwanja cha
Mwanakwerekwe mjini Unguja juzi.
Post a Comment