MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AKAGUA KIWANJA CHA MAKAO MAKUU YA CHAMA, UKARABATI WA KUMBI ZA MIKUTANO DODOMA
Mafundi rangi wakiwa
kazini kuweka mambo sawa nje ukumbi utaotumika wakati wa mkutano Mkuu wa CCM
ulio kitongoji cha Kizota mjini Dodoma
Rais Jakaya Kikwete akiwasili
Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo juu ya ukarabati wa
ukumbi wa mikutano wa 'White House' ulio katika makao makuu ya CCM mjini Dodoma
ambao unafanyiwa ukarabati mkubwa ili kukidhi mahitaji ya sasa. Rais Kikwete
alisimama kwa muda mjini Dodoma siku ya Jumanne Novemba 6, 2012 akitoka katika
ziara ya kikazi mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Singida alikokagua
jumla ya miradi 19 ndani ya wiki moja.
Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maandalizi ya ukumbi
utaotumika wakati wa mkutano Mkuu wa CCM ulio kitongoji cha Kizota mjini
Dodoma. Rais Kikwete alisimama kwa muda mjini Dodoma siku ya Jumanne Novemba 6,
2012 akitoka katika ziara ya kikazi mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na
Singida alikokagua jumla ya miradi 19 ndani ya wiki moja.
Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongiozi wengine wakipata
maelezo toka kwa Katibu Mkuu wa CCM Bw. Wilson Mukama juu ya maandalizi ya
ujenzi wa makao makuu na vitega uchumi wa chama hicho mjini Dodoma ambako
alisimama kwa muda siku ya Jumanne Novemba 6, 2012 akitoka katika ziara ya
kikazi mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Singida alikokagua jumla ya
miradi 19 ndani ya wiki moja.
Post a Comment