RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA HOSPITALI YA HALIMASHAURI YA ARUSHA LEO.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akizindua jiwe la Hospitali ya
Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha jana .Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa
wa Arusha, Magesa Mulongo.
Rais akipiga makofi mara baada ya kuzindua
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika Hospitali mpya
iliyofunguliwa na Rais ya Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha jana.Kulia
ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, Halifa Hidda.
Post a Comment