Warembo Redds Miss Tanzania 2012 watembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro
Warembo wanaoshiriki shindano
la Redds Mi, wakiwa katika picha ya pamoja Oktoba 7, 2012 wakati
warembo hao walipo tembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro na kuopata maelezo na
mza na watalii na wapanda mlima huo. Warembiongozi wa Kamati ya
Miss Tanzania wapoa ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na
kuhamasisha utalii wa ndani.utembelea hifadhi
hiyo lakini warembo hao walishiriki katika tamasha la michezo kwaajili ya
kuchangia fedha na vitu mbalimbali kwa watoto Yatima mjini
Arusha.
Oktoba 8 warembo wanaendelea
na ziara yao ikiwa ni pamoja na kutembelea kituo cha Redio
Washiriki wa Redds Miss tanzania 2012 wakiwa katiak
picha tofauti tofauti wakati wakiwa katika eneo la Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro
KINAPA.
Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii
wanao panda mlima Kilimanjaro.
baadhi ya warembo wakipiga picha na baadhi ya viongozi
wa Kamati ya Miss Tanzania
Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii
wanao panda mlima Kilimanjaro.
Warembo wakiwa wakiwa katika eneo la maegesho ya
magari KINAPA
Wakielekea eneo la kupata taarifa mbalimbali za Mlima
Kilimanajaro
Wakipiga picha na baadhi ya watalii waliowakuta
hapo.
Warembo wa Redds Miss Tanzania wakimsikiliza Afisa
Mhifadhi wa KINAPA, Eva Malya aliyekuwa akiwapa taarifa mbalimbali juu ya mlima
huo.
Warembo wakiwa na nyuso za furaha wakiendelea kupata
maelezo juu ya mlima
Hapa sasa walibeba mabegi

Post a Comment