MEREMETA YA WIKI HII
Charles Mvula na Veronica Komba wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katholic la Mwananyamala jijini Dar es Salaam
Pete ya Ndoa.
Charles akimvisha Pete ya Ndoa Veronika
Veronica akimvisha Pete Charles
Charles na Veronica wakiwa katika Picha ya Pozi
Charles na Veronica wakiwa katika pozi mara baada ya kufunga pingu za maisha
Post a Comment