ad

ad

MAMA ASHA BILAL ASHEREHESHA USIKU WA TAMASHA LA MWANAMKE MJASILIAMALI TANZANIA

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, (wa tano kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanawake Wajasiliamali wakati wa Tamasha la Usiku wa Mwanamke Mjasiliamali Tanzania, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwahutubia wanawake Wajasiliamali, wakati wa Tamasha la Usiku wa Mwanamke Mjasiliamali lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwahutubia wanawake Wajasiliamali, wakati wa Tamasha la Usiku wa Mwanamke Mjasiliamali lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam
 Wakimkaribisha
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, (wa nne kulia) Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (wa tatu kulia), wakijumuika na baadhi ya Kinamama kuserebuka kwa pamoja wakati wa Tamasha la Usiku wa Mwanamke Mjasiliamali Tanzania, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam
 Wakina Mama wakimkaribisha
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, (wa pili kushoto) Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (wa pili kulia), wakijumuika na baadhi ya Kinamama kuserebuka kwa pamoja wakati wa Tamasha la Usiku wa Mwanamke Mjasiliamali Tanzania, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam
 Wakina Mama wajasilamali wakimpokea
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Terezya Huvisa (kushoto) wakiwa Meza Kuu pamoja na baadhi ya viongozi wa Kamati ya maandalizi ya Tamasha la usiku wa Mwanamke Mjasiliamali, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam
Wakina Mama wajasiliamali wakimsikiliza

No comments