BODA BODA YAUA DEREVA NA ABIRIA MAKONGO DAR
Dereva wa Bodaboda na abiria wake,
ambao hawakuweza kufahamika majina yao kwa haraka, wakiwa wamelazwa pembeni mwa
barabara ya Bagamoyo eneo la Makongo, baada ya kugongwa na gari aina ya Starlet
yenye namba za usajiri T 838 BKB, wakati wakiwa katika Pikipiki yao yenye namba
za usajiri T 491 BFY, na kufariki dunia papo hapo. Ajali hiyo ilitokea jana
asubuhi, Pichani ni raia akijaribu kutambua mwili wa marehemu katika ajali
hiyo. Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Wasamaria wakiwafunika miili
Uso kwa na Starlet



Post a Comment