
IGP, Said Mwema (kushoto) akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku mbili wa Majeshi na Rais wa Intepool makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani jijini Dar es Salaam unaohusiana na namna ya kuzuia uhalifu nchini.Kulia ni Rais wa Interpool, Khoo Boon Hui.
Post a Comment