Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba, (wapili kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wa chama hicho, wakati wakiandamana kutoka Makao Makuu ya Cuf yaliyopo Bugurni kuelekea Viwanja vya Kidongo Chekundu, kwa ajili ya kuishinikiza Serikali kutolipa Sh. Bilioni 94 kwa kampuni hewa ya Dowans. Maandamano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam
Post a Comment