ad

ad

RUVU SHOOTING YATWAA UBINGWA UHAI CUP JIJINI DAR.

Wachezaji wa timu ya Ruvu Shootuing wakifurahi na Kombe pamoja na mwakilishi wa moja ya wafadhili kutoka mpango wa Taifa wa kudhibiti Malaria (NMCP), Anna McCartney wa mashindano ya Kombe la Uhai yaliyomalizika jana Uwanja wa Karume dhidi ya JKT-Ruvu.Ruvu Shooting ilishinda 2-1.
Wachezaji wa Ruvu Shooting wakishangilia na Kombe mara baada ya kukabidhiwa.
Kaptani wa timu, Frank Msese akishangilia na Kombe mara baada ya kukabidhiwa
MKurugenzi wa Michezo, Leonard Thadeo akimkabidhi zawadi ya Kombe Kaptani wa timu ya Ruvu shooting mara baada ya kutwaa ubingwa kwennye mashindano ya Kombe la Uhai kwa timu za Ligi Kuu chini ya miaka 20 uliomalizika jana kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
Rais wa TFF, Leodger Tenga (Kulia) akimkabidhi zawadi Liston Ally ya uamuzi bora wa mashindano ya Kombe la Uhai.
Mwenyekiti wa maandalizi ya mashindano ya Kombe la Uhai akisaini mpora kwa mwamuzi aliyechezesha Fainali ya mchezo huo.
Mgeni rasmi akizungumza
Rais wa TFF akizungumza
Meneja wa Azam akizungumza
Mwakilishi wa moja ya wafadhili kutoka mpango wa Taifa wa kudhibiti Malaria (NMCP), Anna McCartney akizungumza
Ruvu wakishangilia
Wakishangilia kwa staili ya Kwata
Kwata......
Kwata
JKT hoi......
Duh......

Wakishangilia

Wakishangilia

Wakishangilia kwa staili ya Kiduku
Mmoja wa wachezaji wakimtuliza
Kurupushani uwanjani za kutafuta magoli zilivyokuwa
Rais wa TFF na Mkurugenzi wa Michezo
Mwamuzi akiwaamuru wachezaji warudi mara baada ya kusawazisha bao la kwanza
JKT wakishangilia bao la kwanza na la kusawazisha.

No comments