ad

ad

HABARIKA KATIKA PICHA JINSI MPAMBANO WA MSONDO NA MLIMANI PARK (SIKINDE) ULIVYOKUWA.

Wanamuziki wa Bendi ya Msondo wakifanya vitu vyao wakati wa mpambano huo uliofanyika kwenye Pub ya Mzalendo Milleniam Tower Dar es Salaam
Mashabiki wa Msondo wakicheza wakati Msondo wanacheza
Mama Nzawise akifanya vitu vyake sambamba na mashabiki
Wanamuziki wa Msondo wakiungulumisha matarumbeta



Mashabuki wakicheza
Duh
Haya sasa....


Twende Babaaaa......
Mh...


Wacha we...
Wakipagawisha




Mlimani Park wakiwa jukwaani tayari
Wakifanya vitu vyao kwa mashabiki











Kazikazi Babaa....

No comments