ad

ad

SWAHILI FASHION WEEK KUSHEREKEA SIKU YA UKWIMWI DUNIANI VISIWANI ZANZIBAR



Waratibu wa onyesho la Mavazi la Swahili Fashion wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO. Kutoka kshoto ni, Hamis Omary, Manju Msita na Ofisa habari wa Swahili Fashion, Saphia Ngalapi

Mbunifu wa mavazi,wa Swahili Fashion,Maju Msita (kulia) akizunguimza na waandishi wa habari .Kushoto ni Ofisa Masoko wa Swahili Fashion,Hamis Omary.

SWAHILI AND MOZAMBIQUE FASHION WEEK PARTNERSHIP STRENGHTENS

MANJU MSITA TO REPRESENT SWAHILI FASHION WEEK

SWAHILI FASHION WEEK CELEBRATES WORLD AIDS DAY IN ZANZIBAR

The 6th edition of the annual Mozambique fashion week will take place from the 6-11 December in Maputo , Mozambique . Swahili and Mozambique fashion week collaboration begun in year 2009 when Adelia and Sheila Tique represented Mozambique at Swahili fashion week 2009 and the later was represented at Mozambique fashion week by Jamilla Vera swai.

“This year Swahili fashion week 2010 Marinella Rodriguez represented Mozambique and we are proud and honoured to select Manju msitta to represent Swahili Fashion week at such a prestigious event in Maputo during the pan African showcase on 11 December” stated Swahili Fashion week organiser Mustafa Hassanali
“It's a pleasure representing Tanzania and Swahili Fashion Week at this years Mozambique Fashion Week. I hope to fly the Tanzanian and east African flag as region high at this world class event.” says Manju msitta
Manju was selected by International producer Jan Malan umzingeli in conjunction with Swahili Fashion Week as who best to represent Tanzania based on their quality and consistency of their creative work.

“This is just the Beginning of Strengthening of Not only Political ties between Tanzania and Mozambique but also Cultural ties too. The Bond shall grow Deeper and stronger Year after year” noted Hassanali.

On the other note Swahili fashion week will host THE WORLD AIDS DAY party on 4 December at Mercury’s in Zanzibar, The event organised in conjunction with Explore Zanzibar is aimed at fundraising for Zapha+ (Zanzibar Association of people living with HIV/AIDS) . The Party is to be hosted by ace celebrity presenter Abby patjess which shall see DJ eddy from Zanzibar , keep party revellers entertained throughout the night.

“Its our responsibility as individuals and organisation, for the social and economical development of the society and with that in mind Swahili Fashion week aims at supporting people living with HIV/AIDS. Amongst the organisation being supported for past three years is the Tanzania Mitindo House and we hope we can advocate to a far and further reach within Tanzania ” concluded Hassanali

ABOUT SWAHILI FASHION WEEK (SFW)
Swahili Fashion week is a platform for designers – both fashion and accessory – from Swahili speaking countries to showcase their creativity, market their art and network with their clientele. This is all aimed at promoting fashion as an income generating, job creating industry while emphasizing a “Made in East Africa ” concept.

Swahili Fashion Week is set to be an annual fashion extravaganza showcasing the best of creative talent in the fashion from Swahili Speaking countries. This being the regions highly acclaimed premier Fashion event founded created and conceptualised in year 2008 by Mustafa Hassanali

“Initiating a dynamic and promising platform for the fashion industry in the region, Swahili Fashion Week is geared towards being the most sought out fashion platform in Eastern Africa for the international market”, explained Mustafa Hassanali, founder and organizer of Swahili Fashion Week.

ABOUT MANJU MSITAManju Msita is one of Tanzania 's most established and innovative designers. As a graphic designer turned-musician turned-fashion designer, Manju detests imitation, which he considers both plagiaristic and fraudulent. "I create authentic designs: from God to me, from me to my customer."Manju's irresistible Afro-creations have proven to be the first, strongest and most effective antidote to the decades-long public apathy towards African attire. Through his company- Smart Afrika, sited at Mikono Art Complex near VETA, Dar es Salaam - Manju has unleashed a new kid on the block. Together with Afro-inspired kitchen party, send-off, wedding, office, casual and special-occasion wears, now come shoes beyond conventional fashion beliefs. Colourful is the new black and matching, to Manju, is the new world (fashion) order.With his pieces now sparkling in all corners of the globe, Manju who launched his fashion career as an underdog in the late 1990s sees the step he made into the fashion world as nothing but a new beginning, and for him, the sky's the limit.
ABOUT MOZAMBIQUE FASHION WEEK
The Mozambique Fashion Week (MFW), is an artistic and cultural event, and is the only one in Mozambique that is connected to the desire to create and that works in discovering new talents and fashion designers, creating opportunities in opening new business markets and professional contacts for the fashion industry in Mozambique and worldwide.
Mozambique Fashion Week has as an objective of enhancing national fashion and beauty and also aims at expanding the fashion market in Mozambique , discovering new talents around the country.
The MFW is a driving vehicle for the development of the Mozambican fashion industry and a major tourist attraction in the promotion of culture and well-being, putting Mozambique in the itinerary of international fashion.

UHUSIANO KATI YA SWAHILI NA MOZAMBIQUE FASHION WEEK WAIMARIKA

MANJU MSITA KUIWAKILISHA SWAHILI FASHION WEEK

SWAHILI FASHION WEEK KUSHEREKEA SIKU YA UKWIMWI DUNIANI VISIWANI ZANZIBAR

Ni awamu ya sita kwa tamasha kubwa la kila mwaka Mozambique fashion week litakalofanyika kuanzia tarehe 6-11 Disemba mjini Maputo Msumbiji. Mahusiano kati ya Swahili na Mozambique fashion week yalianza mwaka 2009 kwa washiriki Adelia na Sheila Tique kuiwakilisha Msumbiji katika Swahili fashion week 2009 na baadaye Swahili fashion week iliwakilishwa na Jamira Vera Swai.

“Mwaka huu Marinella Rodriguez aliiwakilisha Mozambique Fashion Week katika Swahili fashion week, kwa heshima na furaha kubwa tunajivunia kumchagua Manju Msitta kuiwakilisha Swahili fashion week katika tukio muhimu mjini Maputo siku ya tarehe 11 Disemba” alisema Mustafa Hassanali muanzilishi wa Swahili Fashion Week.
“Ni furaha kubwa kuiwakilisha Tanzania na Swahili fashion week katika maonesho ya Mozambique Fashion Week mwaka huu. Nina imani nitaipeperusha vizuri bendera ya Tanzania na Afrika mashariki katika tukio hili la kidunia.” Alisema Manju msita
Manju alichaguliwa na muandaaji wa maonesho ya mavazi wa kimataifa Jan Malan Umzingeli kwa kushirikiana na Swahili Fashion Week kwa kigezo kwamba kazi zake zina kiwango cha juu kulingana na ubora wa ubunifu wa mavazi yake.

“Huu ni mwanzo wa kuimarisha mahusiano baina yetu, na sio siasa pekee inayotuunganisha Tanzania na Msumbiji ila kupitia Utamaduni pia unatuunganisha.Uhusiano huu uendelee zaidi na kuwa imara mwaka hadi mwaka.” aliongeza Hassanali.

Kwa upande mwingine Swahili fashion week itaandaa sherehe ya SIKU YA UKIMWI DUNIANI siku ya tarehe 4 Disemba katika ukumbi wa Mercury’s Zanzibar, tukio hilo limeandaliwa kwa kushirikiana na Explore Zanzibar kwa lengo la kutunisha mfuko wa ZAPHA+ (Zanzibar Association of People Living with HIV/AIDS) msherehehaji katika sherehe hiyo atakua Abby Platjees na mziki utaporomoshwa kutoka kwake DJ Eddy kutoka Zanzibar, itakua ni kusherehekea usiku mzima.

“Ni jukumu letu na kwa kila mmoja wetu na jumuiya kuleta maendeleo ya kiuchumi na jamii huku tukijua ya kwamba Swahili Fashion Week imelenga katika kuwasaidia watu waishio na virusi vya ukimwi. Kati ya jumuiya hizo Tanzania Mitindo House imekua ikipewa misaada kwa miaka 3 sasa na ni matumaini yetu kuwa tunaweza kuendelea na kufika mbele zaidi ndani ya Tanzania ” alikamilisha Hassanali


KUHUSU SWAHILI FASHION WEEK
Swahili fashion week ni jukwaa la wabunifu wote katika mavazi na vito kutoka katika nchi zinazozungumza lugha ya Kiswahili na kuonesha ubunifu wao, kutangaza sanaa zao ili kupata wateja wa bidhaa zao. Hii yote imelenga katika kukuza sanaa ya maonyesho ya mavazi na kujipatia kipato, kutengeneza ajira ili kuhamasisha katika lengo la kuwa na (Bidhaa kutoka Afrika Mashariki)

Swahili fashion week imekua ya kila mwaka ili kuonesha uzuri zaidi na vipaji katika ubunifu kwa nchi zinazozungumza lugha ya Kiswahili. Hii imefanya kuwa tamasha kubwa la fashion katika afrika mashariki lililobuniwa na kufanikishwa mwaka 2008 na mbunifu mkubwa Mustafa Hassanali.

“ Ili kuanzisha kitu cha tofauti na chenye kuleta matumani katika ubunifu wa jukwaa la maonesho ya mavazi, Swahili fashion week imekua moja ya tamasha kubwa la maonesho ya mavazi kwa ukanda wa Afrika Mashariki na katika soko la kimataifa”alieleza Mustafa Hassanali, muanzilishi na muandaaji wa Swahili Fashion Week.

KUHUSU MANJU MSITAManju Msita ni mmoja kati ya wabunifu wenye ubunifu wa hali ya juu nchini Tanzania akiwa kama graphic designer, aliingia katika muziki na hatimaye katika sanaa ya mavazi. Manju anapinga kiuga sanaa za wengine, anajichukulia kama mbunifu wa pekee. Nabuni mitindo tofauti kutoka kwangu hadi kwa wateja wanguManju amekua hana mpinzani katika ubunifu wa mavazi ya kiafrika na imemfanya akubalike na kuwa wa kwanza katika tasinia hii na imara zaidi, kupitia kampuni yake ya Smart Africa, iliyopo katika jingo la Mikono Art Complex karibu na VETA, Dar es salaam . Manju ameanzisha mavazi katika ladha ya kiafrika, kitchen party, send-off, harusi, ofisi, dhifa tofauti ikiwemo viatu,hii imekua ni zaidi ya fashion, mavazi hayo yakiwa katika rangi za kuvutia na tofauti, kwa manju huu ni ulimwengu mpya kwake.pamoja na ubunifu wake sasa manju ameng’ara kila kona, manju ambaye alizindua na kuanza ubunifu wa mitindo katika miaka ya 1990, hayo ni mafanikio aliyoyapata ndani ya ulimwengu wa sanaa na mitindo, haikua bure ila mwanzo mzuri wenye mafanikio.
KUHUSU MOZAMBIQUE FASHION WEEKMozambique Fashion Week (MFW), ni tamasha la sanaa na utamaduni na ni pekee nchini Msumbiji linalounganisha wabunifu na linalovumbua vipaji mbalimbali ikiwemo ubunifu wa mavazi, pia limelenga kuleta ajira na kufungua njia mipya ya bishara na masoko na mawasiliano ya wataalamu katika suala zima la mitindo nchini Msumbiji na kimataifa.
Mozambique Fashion Week ina malengo ya kuimarisha mitindo kitaifa na pia kupanua wigo wa soko la mitindo nchini humo, ikiwemo kuibua vipaji vipya nchini kote. MFW imeleta chachu ya maendeleo ya mitindo ya Mozambique fashion na kuwa kivutio kikubwa cha utalii nhini na kutangaza utamaduni wan chi ya msumbiji na kukuza ubunifu wa mitindo kimataifa.




No comments