
Mmoja wa wanenguaji wa Ferre Gola akiwasili Uwanja wa Kimataifa wa Juliaus Nyerere

Mratibu,King Dodoo wa Onyesho la Mwanamuziki kutoka Kongo,Ferre Gola akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mwanamuziki huyo kushishindwa kufika.

Mwimbij wa Ferre Gola, Shikito (kulia) akiwa na mmoja wa wanenguaji wa Mashujaa Band mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Ugomvi wa Mabaunsa na Waandishi wa habari Uwanja wa Ndege wakati wa kumpokea Ferre Gola ambaye hakutokea
Post a Comment