Katibu Mkuu wa timu ya Azam , Said Nasoro akimtambulisha Kocha mpya wa timu hiyo, Stewart Hall makao makuu ya timu hiyo Dar es Salaam
Kocha mpya wa timu ya Azam, Stewart Hall akizungumza mara baada ya kutambulishwa rasmi makao makuu ya timu hiyo Dar es Salaam . Kulia ni Katibu Mkuu , Said Nasoro.
Kocha mpya wa timu ya Azam, Stewart Hall akizungumza mara baada ya kutambulishwa rasmi makao makuu ya timu hiyo Dar es Salaam . Kulia ni Katibu Mkuu , Said Nasoro.
Waandishi wa habari za michezo kutoka vyombo mbalimbali wakifanya kazi yao wakati wa mkutano huo na uongozi wa timu ya Azam
Post a Comment