
Majaliwa Muhagama akicheza wakati wa Bonanza hilo lililofanyika Mwanaynamala Dar es Salaam

Samson Exavery Akicheza

Vitesh Mutta akicheza wakati wa Bonanza hilo

Michae Machellah akicheza


Mashabiki wakishuhudia Bonanza hilo

Mashabiki wakifuatilia Bonanza hilo

Mkurugenzi wa Jaba, Merry Jaba (katikati) akiagana na Mgeni rasmi, Fimbo Butallah (kulia) ambaye pi ni meneja wa Bia ya Safari Lager

Mashabiki

Katibu Mkuu wa KIPA, Zaholo Ligalu akimpa zawadi mshindi wa tatu

Katibu Mkuu wa KIPA, Zaholo Ligalu akimpa zawadi mshindi wa pili Majaliwa Mayaula Sh.30,000 na Cret la Soda

Katibu Mkuu wa KIPA, Zaholo Ligalu akimpa zawadi mshindi wa kwanza Baraka lutoka Clabu ya 4-WAYS

Baraka akibeba Bia zake
Post a Comment