
Mchezaji wa Golf,Moyo Nomen akicheza wakati wa Bonanza la siku moja lililoshilikisha wateja wa Benki ya Stanbic,wateja watarajiwa na wachezaji wa Klabu ya Gymcana kwa lengo la kuwaweka karibu na benki hiyo pamoja na kufahamiana baina yao kwa uzamini wa Benki hiyo Dar es Salaam

Mchezaji wa Golf wa Klabu ya Gymcana, Bhupesh Aima akicheza wakati wa Bonanza la siku moja lililoshilikisha wateja wa Benki ya Stanbic,wateja watarajiwa na wachezaji wa Klabu ya Gymcana kwa lengo la kuwaweka karibu na benki hiyo pamoja na kufahamiana baina yao kwa uzamini wa Benki hiyo Dar es Salaam

Athumani Chiundu akicheza wakati wa Bonanza hilo

Angel Eatona kitazanma kwa makini jinsi ya kumalizia wakati Bonanza hilo

Abgela akicheza

Mzee Wilson Mwendamseke akicheza.

Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya Stainbic, Khatibu Senkondo akicheza wakati wa Bonanza hilo Gymcana kwa lengo la kuwaweka karibu na benki hiyo pamoja na kufahamiana baina yao kwa uzamini wa Benki hiyo Dar es Salaam

Mwenyekiti , Senkolo akifuatilia mpira wake

Godfrey Kalenge kutoka TTCL akiwa amecheza wakati wa Bonanza hilo

Mchezaji wa tenesi, Rashid Swaleh akifanya mazoezi kwenye viwanja vya Klabu ya Gymcana Dar es Salaam dhidi ya mpinzani wake Edwin Mapunda

Edwin Mapunda akicheza
Post a Comment