
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa PSI Tanzania, Daniel Crapper akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Kondom Studs

Mkurugenzi wa Programu za HIV/AIDS, John Wanyancha (kulia) akizungumza na waandishi wa habari.Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa PSI Tanzania, Daniel Crapper .

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa PSI Tanzania, Daniel Crapper (kushoto) na aliyekuwa kamishna wa tume ya kudhibiti Ukimwi/AIDS, Taji Liundui (katikati) na waandishi wa habari wakinusa konomu yenye harufu ya chungwa na muonekano mpya wakti wa uzinduzi rasmi uliofanyika Dar es Salaam

Wakitazama usahihi wa utumiaji kutoka kwa Taji Liundi

Taji Liundi akiwaonyesha matumizi sahihi

Aaa Tajiiiiiii

Duh huyu Dada nae yumo....

Sawa Taji.....

Ok

Mhhhhhh.

Taji akonyesha umahili wake...

Ok..

Kundi la wasanii wa Trace Hills wakifanya vtu vyao wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Salama Kondom Studs uliofanyika Dar es Salaam
Post a Comment