
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Ndolu akizindua mfuko wa kusaidia secta binafsi za kupunguza umaskini Barani Afrika (ACEF), hususani Tanzania, uzinduzi huo ulifanyika kwenye Hoteli ya Kempisk jijini Dar es Salaam.

Wageni waalikwa wakimsikiliza Gavana

Gavana akizindua

Wakimsikiliza kwa makini

Wakisikiliza

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo akizungumza

Wageni waalikwa wakifuatilia

Mkurugenzi wa Mfuko huo Hugh Scott akizungumza

Waalikwa wakifuatilia

Waalikwa wakifuatilia kwa makini

Waalikwa


Hugh akizungumza

Wakipongezana mara baada ya uzinduzi huo

Wakiteta janmbo

Mkurugenzi wa Mfuko wa kusaidia secta binafsi za kupunguza umaskini Barani Afrika (ACEF), Hugh Scott (ushoto) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi wa mfuko huo kwenye Hoteli ya Kempisk Dar es Salaam jana.Katikati ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Ndulu na Mwakilishi wa Shilika la kupambana na umaskini (DFID), Darren Welch

Gavana akizungumza na waandishi wa habari

Wakiteta jambo mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari
Post a Comment