FAINALI KATI YA SHULE YA SEKONDARI YA MAKONGO NA JITEGEMEE LIGI YA TFF.
Beki wa timu ya Shule ya Sekondari ya Jitegemee, Ally Mbonde, akimdhibiti mshambuliaji wa timu ya Shule ya Sekondari ya Makongo, John Chedy, wakati wa fainali za mashindano ya TFF kwa shule za sekondari, yaliyomalizika jana Dar es Salaam. Jitegemee ilishinda 2-1.
Kocha wa timu ya Taifa akizungumza na timu zote mbili kabla ya mchezo kuanza.
Akizungumza nao
Kocha wa timu ya Taifa akipata maelekezo toka kwa mwamuzi wa fainali hiyo
Akikagua timu ya Jitegemee
Akikagu timu ya Shule ya Sekondari ya Makongo
Timu zote mbili zikisalimia halaiki
Wakisalimiana
Picha ya Pamoja ya Wachezaji wa Jitegemee
Picha ya Pamoja ya Wachezaji wa Makongo
Picha ya Pamoja ya Waamuzi na manahoza wa timu zote mbili
Mshambuliaji wa timu ya Jitegemee akiipatia timu yake goli la kwanza
Akishangilia
Wakishangilia goli kwa style ya Kiduku
Post a Comment