
Hamisi ma SMS akimkabidhi George Mtei zawadi ya shilingi milioni moja baada ya kuibuka mshindi kwenye promosheni ya SMS inayoendeshwa na kampuni hiyo Dar es Salaam.Katikati ni Mkuu wa Mawasiliano wa Kampuni hiyo,Wiliam Mpinga

Hamisi ma SMS akimkabidhi Rashid Kassim zawadi ya shilingi milioni moja baada ya kuibuka mshindi kwenye promosheni ya SMS inayoendeshwa na kampuni hiyo Dar es Salaam.Katikati ni Mkuu wa Mawasiliano wa Kampuni hiyo,Wiliam Mpinga

Wshindi wakihakiki zawadi zao.

Wakihakiki

Wakionyesha peza zao mara baada ya kuhakiki
Post a Comment