Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Zantel, Ikechukwa Kalu, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya Hamisi ma-sms inayomwezesha mteja kushinda Sh milioni moja kila siku. Kulia ni Mkuu wa kitengo cha mawasiliano, Brian Karokola.
Post a Comment