
Meneja habari na utetezi wa Voices II Project chini ya mpango wa Maralia haikubaliki , Fauziyat Abood akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ushiki wao kwenye maonyesho ya mavazi yanayotambulika kama ‘Swahili Fashion Week’ yatakayoanza Novemba 4 Dar es Salaam. Kutoka Kushoto ni Mshauri wa ufundi wa Voices II Project, Anna McCartney,Wabunifu wa mavazi, Fransisca Shirma, Salim Ally na Diana Ally.

Akizungumza

Anna kutoka Voices akizungumza
Post a Comment