ad

ad

NOCH COMPANY LIMITED YAANDAA TAMASHA LA REGGAE(eXPLOSIVE ZION).

Mmoja wa waimbaji wa muziki wa Reggae, (kushoto) akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu tamasha la muziki huo litakalofanyika Octoba 29 Makumbusho Cultural Center lililoandaliwa na Noch Company Limited.Katikati ni Meneja wa Noch Company, Mukalay Mtangaza na mwimbaji wa Reggae kutoka Jamaica, Zanzi B.Jhikoman Manyika akionyesha moja ya kazi zake.
Zanzi B akizungumza na waandishi wa habari.

No comments