ad

ad

MANUARI YENYE HOSPITALI NDANI KUTOKA CHINA YAWASILI DAR.

The Chief Exactive Officer of the Hospital Ship from China,Captain Yu Dapeng (left) showing the guest of honour the Director General of Lugalo Hospital different parts, Major General Salim Salim (second left) when visted the Hospital Ship yesterday Dar es Salaam.Right is the Ambasador of China in Tanzania, Liu Xinsheng and Commander of Mission Harmong 2010,Rear Admiral Bao Yuping.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Manuari yenye Hospitali kutoka China, Kaptani Yu Dapeng (kusoto) akimuelekeza Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Hospitali ya Lugalo,Meja Generali ,Salim Salim alipotembelea Manuari hiyo Dar es Salaam Bandalini.Kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng na Kamanda wa Manuari hiyo,Rear Admiral Bao Yuping

Mkuu wa Hospitali ya Lugalo akipata maelezo kutoka kwa mkalimani, Liu Xiaomei
Baadhi ya Vitanda vilivyomo ndani ya Manuari hiyo yenye jumla ya vitanda elfu tatu (3000)
Akipata maelezo Mgeni rasmi.

Hili ni Korido ndani y Manuari hiyo.
Mgeni rasmi akitembezwa sehemu mbalimbali.
Hii ni sehemu mojawapo za kutolea huduma ya afya ndani ya manuari hiyo.
Akipta maelezo ya hiyo mashine
Wakipandisha ngazi ndani ya Manuari hiyo.
Mkutano na waandishi wa habari


Wakizungumza na waandishi wa habari ndani ya manuari






Mkuu wa Hospitali ya Lugalo, Meja Generali Slim Salim akizungumza na waandishi wa habari.
Kamanda wa Manuari, Rear Admiral Bao Yuping akimkabidhi zawadi Mkuu wa Hospitali ya Lugalo Meja Generali Salim Salim.
Aksante kwa zawadi
Aksante sana
Duh nzuri
Na hiyo tena .....
Jamani duh,aksanteni sana
Aksante
Hapa ni upande wa juu wa Manuari hiyo waandishi wa habari wakipiga pisha.

Manuari jinsi inavyoonekana kwa nje
Mpiga Picha wa ITV,Kaniki akiwajibika.
Wafanyakazi wa ITV,Ahmed Segulle (kushoto) na Kaniki wakiwajibika.
Wachina waliopo nchini wakiifurahia Manuari yao
Kama wanavyoonekana wakifurahi
Breass Bend ya kijeshi nchini wakitumbuiza.
Wakizunguka sehemu mbalimbali







Mwanablog, Nichael Machellah nae hakuwa nyuma katika Manuari hiyo.


Wanahabari wakipigana picha ndani ya Manuari


Wanahabari wakishuka kwenye Manuari
Mwanahabari wa gazeti la Mtanzania nae alikuwepo....

Wanahabari wakiondoka

Wanahabari wakiondoka Bandarini.
Wanahabari wa ITV wakiondoka.

No comments