
Mabwawa ya kuhifadhia maji machafu yaliyopo Mabibo jijini Dar es Salaam yamekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo kwa kutoa harufu mbaya.

Mmmmmmh.....

Mgombea Udiwani wa kata ya Kigogo, Richard Chengula aliyefanikiwa kufunga dampo la Kigogo baada ya kero ya harufu mbaya kwa wakazi wa eneo la Dampo hilo Kigogo Dar es Salaam na kwa sasa anagombea tena nafasi hiyo.

Hii ndio sehemu iliyokuwa dampo kwa sasa pamefungwa

Dampo sasa shwari.
Post a Comment