JIJINI DAR E SALAAM
Party ya uzinduzi rasmi ya Jukwaa la Tatu la Swahili Fashion week, itafnyika kesho jumamosi katika ukumbi wa Mach More Bilicanas Group, kuanzia saa 4:00 usiku.
Katika shughuli hiyo itawaleta pamoja wabunifu wa mvazi mbalimbali waliopo hapa nchini na wale ambao watashiriki Swahili Fashion Week ya mwaka huu, Sambamba na hao pia watakuwepo walibwende wa aina mbalimbali ambao watapamba jukwaa la Swahili Fashion Week.
“Tunaamini kwamba kufanyika kwa party ya uzinduzi ni mwanzo mzuri na tunategemea kuwa jukwaa la tatu la Swahili Fashion Week litakuwa bora, kutokana na maandalizi yake kuwa mazuri zaidi, watanzania wategemee kuona vitu tofauti na mwaka jana” Alisema Mustafa Hassanali, muandaaji wa Swahili Fashion Week.
“Kiingilio ni shillingi 20,000/= tu, itapendeza tukijumuika pamoja katika kusheherekea na kuunga mkono Sanaa ya ubunifu wa mavazi hapa nchini”. Alieleza Roy Mbowe wa East Africa Radio.
“Katika Sherehe hiyo ya uzinduzi kutakuwepo na burudani mbalimbali za kuvutia pamoja na bahati na sibu za aina mbalimbli, sambamba na muziki kabambe kutoka kwa DJ wa East Africa Radio”. Aliongeze Roy Mbowe Meneja Masoko kutoka East Africa Radio.
Swahili Fashion Week ni jukwaa linalowakutanisha wabunifu wa mavazi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya Kiswahili, mbalo litakalofanyika kuanzia November 4 , 5 na 6 katika Bustani ya Karimjee, Dar es Salaam .
Swahili fashion week 2010 imedhaminiwa na Home of Swahili Fashion week Southern Sun, Origin Africa, USAID Compete, EATV, East Africa Radio, Malaria Haikubaliki, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania) Ultimate Security, Monier 2000, Colour Print ltd, Global Outdoor Ltd, Amarula, Vayle Springs Ltd, ZG Films, Darling Hair, Danish make up designs, Nipashe, Bilicanas, Perfect Machinery LTD, 1 & 1 internet solutions, Sengi Tours, Ifashion na 361 Degrees.
SWAHILI FASHION WEEK LAUNCH PARTY 2010
Designers, models and fashion celebrity in attendance
The third Swahili Fashion Week, official launch party will be held at RSVP Much More, part of Bilicanas Group, on Saturday 23 October from 10PM onwards.
The party will bring together all models, designers and Swahili Fashion week participants and other fashions industry stakeholders in the country.
“We believe that, the launch party is the beginning of the very best we have to offer that is yet to come as we commence the Swahili Fashion Week 2010 season”. Said Mustafa Hassanali. Organizer of Swahili Fashion Week
“The entrance for the party is only 20,000/= only, lets join hands together to celebrate and support our fashion industry.” Stated Roy Mbowe of East Africa Radio
“The Lunch party shall have lot of goodies for fashionistaz to win apart from the Fashion Forward Beats by East Africa Radios Finest DJ who shall spin the Night away” Added Roy Mbowe East Africa’s Radios Marketing manager
The third annual Swahili Fashion Week will take place at Karimjee Gardens on the 4th, 5th and 6th November 2010 in Dar Es Salaam , Tanzania .
Swahili fashion week 2010 has been sponsored by the home of Swahili Fashion Week - Southern Sun, Origin Africa, USAID Compete, EATV, East Africa Radio, Malaria Haikubaliki, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania), Ultimate Security, Monier 2000, Colour Print Ltd, Global Outdoor Ltd, Amarula, Vayle Springs Ltd, ZG Films, Darling Hair, Danish make up designs, Nipashe, Bilicanas group, Perfect Machinery Ltd, 1&1 Internet Solutions, Sengi Tours, iFashion and 361 Degrees.

VOICES II PROJECT YACHANGIA KUIWEZESHA SWAHILI FASHION WEEK
WABUNIFU WATATU KUFANYA KAMPENI YA MALARIA HAIKUBALIKI
MALARIA HAIKUBALIKI SHOO KUFANYIKA NOVEMBER 4, 2010.
Wabunifu watatu wa mavazi wanaokuja juu katika fani hii hapa nchini, watapata fursa ya kuonesha kazi zao za ubunifu katika Siku ya kwanza ya Swahili Fashion Week 2010 ambayo ni 4 November, katika maonesho yakayolenga kuhamasisha kujikinga na Malaria, kupitia kampeni ya kitaifa ya kupambana na Malaria nchni inayojulikana kama MALARIA HAIKUBALIKI: Tushirikiane Kuitokomeza, kampeni ambayo imekuwa ikifanyika kwa kushirikina na washika dau wa malaria Tanzania ikiwemo Johns Hopkins University Center for Communication Programs kupitia VOICES Malaria Free Future project.
“Swahili Fashion Week ni tukio muhimu ambalo tutalitumia kuwafikishia ujumbe watanzania wa kuitokomeza Malaria, ikiwa ni jitihand endelevu zinazofanywa hapa nchini. Tunafanya kazi bega kwa bega na wabunifu wa mavazi kwa kushirikiana na sekta nyingine nyingi katika kupiga vita ugonjwa wa Malaria hapa chini.” Alisema Anna McCartney-Melstad, Advocacy Advisor for Voices for a Malaria Free Future-TZ.
Swahili Fashion Week, Fashion Advisory Board imewachagua wabunifu wa mavazi watatu kuwa miongoni mwa wabunifu watakaoshiriki katika Swahili Fashion Week ya mwaka huu ambao wataonesha kazi zao kwenye shoo ya Malaria Haikubaliki.
“Wabunifu hao watatu ni pamoja na Francisca Shirima, Mtoko designers na Diana Magesa kutoka Morogoro”. Aliwataja Saphia Ngalapi, Swahili fashion Week Media Manager.
Wabunifu hao wameandaa mavazi ambayo yatatoa picha halisi ya kampeni ya Malaria Haikubaliki. Hii ni mara yao kwanza kwa wabunifu hawa kushiriki katika jukwaa bora la maonesho ya mavazi la Afrika Mashariki, kwa hisani ya Malaria Haikubaliki.
“kwa kiasi kikubwa tunamini kwamba kwa kufanya kazi na wabunifu hawa vijana katika kampeni hii tutawafikia watu wengi, na tunaamini kuwa wabunifu hawa watatu watawakilisha mawazo yetu kwa jamii”. Alisema Fauziyat Abood, Media and Advocacy Manager wa John Hopkins University Center for Communication Programs Tanzania
Swahili Fashion Week 2010 pamoja na kuwezeshwa na MALARIA HAIKUBALIKI imefadhiliwa na Southern Sun, home of Swahili Fashion Week, Origin Africa, USAID Compete, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania), Ultimate Security, Monier 2000, Colour Print Ltd, Global Outdoor Ltd, Amarula, Vayle Springs Ltd, ZG Films, Darling Hair, Danish make up designs, Nipashe, Bilicanas, Perfect Machinery Ltd, 1&1 Internet Solutions, Sengi Tours, Ifashion, 361 Degrees na EATV, East Africa Radio.
Swahili Fashion Week ni jukwaa kubwa pekee linalowaleta pamoja wabunifu wa mavazi na watengenezaji wa bidhaa za mapambo kutoka nchi zote zinazozungumza lugha ya Kiswahili, ili kuonyesha ubunifu wao, kuuza bidhaa wanazozalisha, kubuni ajira, sambamba na kutengeneza mtandao kwa wabunifu kutoka maoneo hayo wanayoongea lugha ya Kiswahili, sambamba na kuhimiza dhana nzima ya kuthamini bidhaa zinazotengenezwa Afrika Mshariki.
Swahili fashion week in tukio ambalo linawajumuisha wabunifu wakongwe na wale wanaochipukia kuonyesha kazi zao, pia kutoa nafasi kwa wapenzi wote wa sanaa ya mavazi kujumuika pamoja na kufurahia ubunifu wa watanzania na kutoka nchi za jirani.
“Msisitizo zaidi umewekwa katika kuhakikisha kuwa sekta ya ubunifu inakuwa kikanda. Swahili Fashion Week inalenga kukuza sanaa ya ubunifu na kuwa jukwaa bora la kibiashara kimataifa na kwa nchi za Afrika Mahariki”. Alifafanua Mustafa Muanzilishi na Muuandaaji wa Swahili Fashion Week.

VOICES II PROJECT SUPPORTS SWAHILI FASHION WEEK
3 Designers embrace the campaign MALARIA HAIKUBALIKI
MALARIA HAIKUBALIKI showcase on 4 November 2010
Swahili Fashion Week Day One on 4 November 2010 amongst other designers shall feature a Collection by Three Up-coming designers to advocate for the prevention and treatment of malaria, by MALARIA HAIKUBALIKI: Tushirikiane KuitokomezaI , Tanzania 's national malaria communication campaign.. The Malaria Haikubaliki: Tushirikiane Kuitokomeza campaign is being implemented by a number of malaria partners in Tanzania including Johns Hopkins University Center for Communication Programs through its VOICES for a Malaria Free Future project.
“Swahili Fashion week is great way to reach a specific Tanzanian audience with malaria advocacy messages including the need to sustain current malaria efforts in Tanzania. We working shoulder to shoulder with young designers to join others across many industries to be the champions in kicking malaria out of the great country of Tanzania ” stated Anna McCartney-Melstad, Advocacy Advisor for Voices for a Malaria Free Future-TZ.
Swahili fashion week Fashion advisory board have selected three aspiring designers to be part of
This Swahili fashion week Malaria Haikubaliki initiative. “The three Designers are Francisca Shirima, Mtoko designers and Diana Magesa from Morogoro” name Saphia Ngalapi, Swahili fashion Week media Manager.
The Designers each is collecting a collection which best depicts the vision of malaria Haikubaliki. For all three designers this is their first time participation in east Africa’s premiere fashion platform courtesy of Malaria Haikubaliki.
“we strongly believe in using young creative talents in this campaign to reach across a variety of audiences and we believe that this three designers best represent our vision” added Fauziyat Abood, Media and Advocacy Manager for John Hopkins University Center for Communication Programs Tanzania
Swahili Fashion Week 2010 apart from MALARIA HAIKUBALIKI has also been sponsored by the home of Swahili Fashion Week - Southern Sun, Origin Africa, USAID Compete, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania), Ultimate Security, Monier 2000, Colour Print Ltd, Global Outdoor Ltd, Amarula, Vayle Springs Ltd, ZG Films, Darling Hair, Danish make up designs, Nipashe, Bilicanas, Perfect Machinery Ltd, 1&1 Internet Solutions, Sengi Tours, Ifashion, 361 Degrees and EATV, East Africa Radio.
Swahili Fashion week is a platform for designers – both fashion and accessory – from Swahili speaking countries to showcase their creativity, market their art and network with their clientele. This is all aimed at promoting fashion as an income generating, job creating industry while emphasizing a “Made in East Africa” concept.
Swahili Fashion Week is set to be an annual fashion extravaganza showcasing the best of creative talent in the fashion from Swahili Speaking countries. This being the regions highly acclaimed premier Fashion event founded created and conceptualised in year 2008 by Mustafa Hassanali
“Initiating a dynamic and promising platform for the fashion industry in the region, Swahili Fashion Week is geared towards being the most sought out fashion platform in Eastern Africa for the international market”, explained Mustafa Hassanali, founder and organizer of Swahili Fashion Week.

Post a Comment