Fundi wa Umeme ambaye hakutambulika jina lake akifanya kazi bila tahadhari ya vifaa malum vya kazi yake jambo ni hatari kwa maisha yake.
Mkuu wa Idara ya Biashara Upande wa Serikali wa Benki ya NMB, Domina Feruzi (kulia) akimkabidhi vifaa vya michezo Mkuu wa Utendaji wa Kivita na MafunzoJeshini, Meja Jenerali Sylvester Riobaili kuendeleza michezo Jeshini vyenye thamani ya Sh milioni saba. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Makao Makuu ya Jeshi Upanga Dar es Salaam
Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakichagua matunda aina ya Mapapai kwenye Soko la Mahakama ya Ndiozi la Mabido Dar es Salaam.
Wafanya bashara wa Matunda wakiwa wamelala wakisubiri wateja wa matunda aina ya Matikiti kwenye Soko la Mabibo
Post a Comment