YANGA YANYANG'ANYWA KIDUMBUA MDOMONI KWA MATUTA 1-4,TAIFA.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia na Ngao ya hisani mara baada ya
kuifunga kwa penati timu ya Yanga 4-1, Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimkabidhi ngao Nahodha wa Azam Fc, John Bocco mara baada ya kuifunga yanga 4-1 wakati wa mechi ya Ngao ya hisani iliyofanyika Uwanja wa Taifa.
Wachezaji wa Azam Fc wakimpongeza Kocha wao kwa kumrusha juu
Wachezaji wa Azam wakishangilia
Azam wakishangilia
Post a Comment