RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha
Maombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,
za mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya
marehemu wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,
marehemu wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,
wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse
katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba
1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi
Pombe Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya
JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili
huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika
Maombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,
2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zakeza mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya
marehemu wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,
2014
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akifariji familia yamarehemu wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,
2014
Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akitoa heshima za mwishowakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse
katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba
1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014.
Waziri wa Ulinzi Dkt Hussein Mwinyi na Waziri wa Ujenzi Dkt JohnPombe Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya
JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili
huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika
kesho Jumapili Novemba 2, 2014
WAZIRI WA AFYA MH. SEIF RASHIDI AZINDUA RASMI GHETTO RADIO KATIKA HOSIPITALI YA MKOA WA TEMEKE
Waziri wa Afya Mh. Seif Rashid akiongea na Wauguzi wa Hospitali teule ya Mkoa wa Temeke, Wafanyakazi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm pamoja na wadau mbalimbali wakati wa uzinduzi Rasmi wa Radio hiyo, ambayo lengo lake ni kuwakomboa vijana wa Mtaani pamoja na vipindi vingine vya kuelimisha Jamii na Burudani, Pia amewashukuru kwa kutoa msaada wa vifaa mbalimbali ambavyo vitasaidia katika Hospitali hiyo leo Tarehe 1.11.2014
Mkurugenzi wa Sibuka George Ndagali akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm iliyo fanyika katika katika Hosipitali Teule ya Mkoa wa Temeke Ambapo Ghetto Radio Imeweza kufunguliwa Rasmi Katika Mkoa huo nakuweza kutoa Msaada Vifaa Mbalimbali pamoja na Madawa Ambavyo Vyote kwa ujumla vimegharimu kiasi Cha Shilingi Milioni sita na Laki sita.
Mkurugenzi wa Ghetto Radio Matt Brouwer akizungumza neno wakati wa uzinduzi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm Ambapo Bw.Brouwer Alisema kuwa Ghetto Radio ilianzishwa nchini Kenya Miaka Sita iliyopita nakuweza kuwasaidia vijana mbalimbali Hivyo wameweza kuingia Nchini Tanzania Ilikuendeleza kuwapa vijana Fursa Na elimu INayo Tolewa na Kituo Hicho Kwa Hapa Nchini
Mganga Mkuu wa Hospitali teule ya Mkoa wa Temeke Amaani K. Malima akitoa neno la Shukurani kwa Timu nzima ya Ghetto Radio ya Sibuka Fm kwa kufanya uzinduzi wa Radio yao katika Hospitali hiyo pia kutoa Msaada wa vitu mbalimbali vitakavyo saidia katika eneo hilo.
Meneja wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm Edward Lukaka akitoa maelezo machache ya malengo ya Radio hiyo pia kueleza mikakati ya kuendelea kutoa msaada wa vifaa mbalimbali vya tiba katika Vituo zaidi vya Afya.
Mkurugenzi wa kituo cha afya cha Iran Nchini Tanzania Dkt. Farhad Arjomandi akiwashukuru Ghetto Radio ya Sibuka FM kwa kuanzisha Kituo hicho pia na wao wametoa vifaa vya matibabu kwa ajili ya kushiriki uzinduzi huo wa Radio
Mwenyekiti wa Red Cross Mkoa wa Dar es salaam Leonard Masonu akitoa neno la Shukurani
Hivi ni Baadhi ya vitu ambavyo vimetolewa na Ghetto Radio ya Sibuka Fm katika Hospitali teule ya Mkoa wa Temeke wakati wa uzinduzi Rasmi wa Radio hiyo
Waziri wa Afya Mh. Seif Rashid akikabidhiwa Rasmi msaada wa Vifaa na Vitu mbalimbali vitakavyo tumika katika Hospitali teule ya Mkoa wa Temeke kutoka kwa Ghetto Radio ya Sibuka Fm
Baadhi ya Wadau mbalimbali walioshiriki katika Sherehe hiyo ya Uzinduzi Rasmi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm
Baadhi ya Wauguzi wakiwa katika uzinduzi huo Rasmi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm
Wafanyakazi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm pamoja na wadau mbalimbali wakijiandaa kuelekea kutoa Msaada wa vitu mbalimbali katika vyumba vya wagonjwa
Wakiwa wanaelekea Wodini
Kulia ni Mkurugenzi wa Sibuka George Ndagali akiwa katika Wodi ya watoto kukabidhi zawadi za watoto na mama zao, katikati ni Mwanamuziki Mkongwe wa Bongo Flava Juma Nature ambaye ni Balozi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm
Balozi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm Juma Nature akiwa anatandika Shuka moja wapo katika Wodi ya watoto kuashiria kukabidhi mashuka hayo.
Baadhi ya Timu ya wafanyakazi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm

Post a Comment