KIKUNDI CHA ELIUD PROSPER MABINGWA MBIO ZA MITUMBI KAGERA.
Wakina Mama wapiga Kasia nao wakiwa tayari kwa mashindano 
Tayari kwa Mashindano kuanza..
Wakina mama wakiwa Kazini
Wadau mbalimbali walijitokeza kwa wingi katika Mashindano hayo ya Mitumbwi.
Baadhi ya Washindi upande wa Kina Mama walioibuka Kidedea
Mama aliyeshinda akionesha zawadi ya pesa
Wakina Mama wapiga Kasia walioshinda wakiwa kwenye picha ya pamoja.


Mtoto alishinda na kujinyakulia pesa.
Baba nae aliibuka mshindi wa pili

Wapiga Kasia wakishangilia hapa baada ya Baba na Mtoto kushinda na kujinyakulia pesa taslim.
Wanaume walioshinda wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni rasmi(katikati).

Wanaume walioshinda wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni rasmi(katikati).
Post a Comment