Mkuu
wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata
utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani
B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia
ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as
Salaam.
Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa
darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule ,
vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
|
Post a Comment