RESOLUTION INSURANCE YAZINDUA TAWI JIPYA LUMUMBA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM.
Mkurugenzi
wa bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasosola(katikati) akikata utepe
wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Karikoo la kampuni hiyo lililofanyika Dar
es Salaam .Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi
wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha.
Mkurugenzi
wa Kampuni Resolution Insurance, Oscar Asir(kulia) akiwaelekeza mandhali ya
ofisi ya tawi jipya la ofisi hiyo iliyoko Lumumba Kariakoo Mkurugenzi wa bodi
wa kampuni hiyo, Richard Kasosola(katikati) na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya
Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha.
Keki maalum
kwa ajili ya Ufunguzi wa tawi jipya la Resolution Insurance la mtaa wa
Lumumba Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa
bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasosola(katikati), Mkurugenzi wa Kampuni
hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard
Chacha wakikata keki kuashilia uzinduzi wa tawi jipya la kampuni hiyo lilipo
mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Resolution Insuarance wakiwa katika picha ya pamoja. |
Post a Comment